Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

UVCCM Longido Watoa Msaada Kwa Yatima

Katibu wa UVCCM Wilaya ya Longido Isaya Karakara, Katibu Hamasa UVCCM Mkoa wa Arusha  Neema Emmanuel na Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM  Mkoa wa Arusha Robert Kaseko wakikabidhi  msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa mmiliki wa kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Masai Foundation kilichopo Namanga, Bi Joyce Kabati. 

Katibu wa UVCCM Hamasa Mkoa wa Arusha Neema Emmanuel akiwa amembeba mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Masai Foundation Namanga. 

Picha ya pamoja viongozi wa UVCCM Arusha na wenyeji wao katika kituo cha kulele watoto yatima Masai Foundation
PICHA NA: FERDINAND SHAYO

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO