Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

CCM YAMSHUKIA TUNDU LISU

  - Yadai orodha yake inalenga kupotosha  tuhuma za rushwa zinazowakabili baadhi ya wabunge. - Anataka kuwaokoa wa Chadema katika sakata ...
Soma Zaidi

Mgomo wa walimu waanza, wakitika kila kona ya nchi; Walimu waliogoma kutopewa mishahara

WAKATI walimu wakianza mgomo wa kutoingia madarasani jana, serikali imesema kuwa walimu watakaobainika kujihusisha na mgomo huo hawatalipwa...
Soma Zaidi

Kufuatia kufungiwa MwanaHalisi, Kubenea atoa kauli, wadau wa habari waja juu

na Happiness Mnale Toleo la MwanaHalisi la mwisho kabla ya kufungiwa hapo jana SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelifungia gaze...
Soma Zaidi

CHADEMA yataka Zitto achunguzwe

na Edson Kamukara, Dodoma KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imetaka kuchunguzwa kwa madai ya Naibu Kiongozi wa wa kambi hiyo, Zitto Kabwe, ...
Soma Zaidi

Nisihusishwe na Matamshi na Makanusho wa Wabunge walokuwa Kigoma

Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 23 Julai 2012, kulikuwa na habari yenye kusomeka ‘Wabunge wamsafishia Zitto njia ya Urais 2015′ . Haba...
Soma Zaidi

Ukarabati wa barabara za katikati ya mji kupendezesha mandhanri ya Jiji la Arusha

Barabara nyingi katika viunga vya Jiji la Arusha ziko katika ukarabati mkubwa kwa kiwango cha lami kama picha hii inavyoonesha zoezi la kuw...
Soma Zaidi

CHADEMA wamshukia Ole Sendeka

*Wadai ameshindwa kuwatetea wananchi wake *Yawahimiza wananchi kutoa maoni Katiba mpya WIMBI la mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maende...
Soma Zaidi

Sheria mpya mifuko ya jamii yazua mtafaruku nchini

Waandishi Wetu Marekebisho ya Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya 2012 yaliyofanywa na Bunge yamezua mtafaruku na sintofahamu, huku waf...
Soma Zaidi

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO