Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MWALIMU NYERERE ATUNUKIWA TUZO YA BURUNDI

BUJUMBURA,BURUNDI

Mwl Nyerere Taifa la Burundi limemtunukia Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere (pichani) Tuzo ya Juua ambayo nchi hiyo hutoa kwa watu mbali mbali kutokana na mchango wao katika kuleta uhuru na baadaye kwa jitihada zao kubwa za kuleta amani katika nchi hiyo.

Tuzo hiyo iitwayo 'Order of the National Republic of Burundi',   ilikabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete, wakati wa kilele cha Maadhimisha ya Miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika juzi, eneo la Independence Road, pembeni mwa Uwanja wa Michezo wa Louis Rwagasore mjini Bujumbura.   Kupata habari hii kwa kina BOFYA HAPA AU HAPA

SOURCE: BASHIR NKOROMO

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO