Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ajali ya kifodi Jijini Arusha alfajiri ya leo

DSCN4881 Kamera yetu ilinasa tukio hili la ajali ya gari, basi dogo la abiriamaarufu kama “Kifodi” lenye namba za usajili T621 AUF likiwa limetumbukia mtaroni kama piza zinavyoonesha alfajiri ya leo. Ajali hiyo imetokea eneo la Moshono mita chache kutoa Suye, eneo maarufu kama “Kwa Siara”. Haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha ajali hiyo na hali za watu waliokuwamo katikagari hiyo. Tutaendelea kufuatilia na tutakujuza, endelea kutembelea blog hii.

DSCN4882

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO