Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira za maandamano ya CCM Jijini Mwanza kupinga mgomo wa madaktari leo

Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi waandamizi wilaya ya Ilemela kimefanya maandamano ya amani kwa lengo la kumpongeza Rais Kikwete kwa hotuba yake aliyoitoa tarehe 01/07/2012 iliyokuwa na taarifa kuhusu mgomo wa Madaktari nchini.

maandamano ya ccm mwanza

maandamano ya ccm mwanza1Wanachama na wafuasi wa CCM Jijini Mwanza wakiwa na mabango yenye jumbe tofauti katika maandamano maalumu kupinga na kulaani mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.

KWA PICHA NA MAELEZO ZAIDI GONGA HAPA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO