Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

NAFASI ZA UHIFADHI FEDHA (CASHIERS) NA ULINZI.
1. SIFA ZA NAFASI ZA UHIFADHI FEDHA(CASHIERS)
• Awe na umri kati ya miaka 19 hadi 30
• Awe amemaliza kidato cha Nne,Sita au Certificate ya Accountants, Business au Finances.
• Awe tayari kufanya kazi katika mazingira yeyote (Usiku na Mchana).

2. SIFA ZA NAFASI ZA ULINZI
• Awe na umri kati ya miaka 19 hadi 35
• Awe ni Mwanaume
• Awe tayari kufanya kazi katika mazingira yeyoye Usiku na Mchana.
• Awe mwenye afya nzuri
• Awe anajua kusoma na kuandika.
Ofisi zipo Mwananyamla, Mtaa wa Kambangwa, nyumba namba 110, nyuma ya hospitali ya Mwananyamala karibu na msikiti wa taqwa.Maombi yote yatumwe kupitia Lotus Valley Limited, S.L.P 80496, Dar-es-Salaam, Tanzania au Email address lotusvalley468@yahoo.com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO