Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Zijue Sheria Ndogo mpya kwa Manispaa ya Arusha zitakazotungwa baadae mwaka huu

Kwa mujibu wa Tangazo la Mkurugenzi wa Hamashauri ya Manispaa ya Arushakwa wananchi wote wa Arusha, ambalo lipo katika mbao za matangazo za Ofisi za Manispaa, inaelezwa kuwa Halmashauri hiyo inakusudia kutunga sheria mpya za mji ambazo zitafuta sheria ndogo za awali.

Sheria hizo mpya zinatarajiwa kugusa meneo yafuatayo:

1. Kodi ya majengo

2. Ada na ushuru

3. Udhibiti wa vyombo vya usafiri wa barabara na ada za magari

4. Ushuru wa huduma

5. Hifadhi ya mazingira na matumizi ya barabara

6. Udhibiti wa taka ngumu

7. Mbango na matangazo, na

8. Udhibiti wa Ujenzi mjini

DSCN4460DSCN4459

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO