Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWA Arusha yapata udhamini

TASWA Arusha Meneja mauzo na masoko wa kampuni ya Megatrade, Gudluck Kway, akimkabidhi Katibu wa TASWA Arusha , Mussa juma, hundi ya sh 1.5 milioni, kama udhamini wa Kampuni hiyo katika bonanza la waandishi wa habari Kanda ya Kaskazini, ambalo litafanyika julai 15 mwaka huu, makabidhiano hayo, yalifanyika Palace Hoteli mjini Arusha.

TASWA Arusha1 Katibu wa TASWA Arusha , Mussa juma, akizungumza baada ya kupokea hundi ya sh 1.5 milioni, kama udhamini wa Kampuni hiyo katika bonanza la waandishi wa habari Kanda ya Kaskazini. (Picha na maelezo: KAMANDA WA MATUKIO – Richard Mwaikenda)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO