Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Kampuni ya Mkurungenzi mstaafu wa Manispaa ya Moshi yadaiwa kuwa chanzo cha mgomo wa daladala mjini humo.

mgomo moshi Taarifa ambazo zimeifikia Blog hii zinaelezea shutuma kwa mzabuni mpya wa ukusanyaji ushuru katika Manispaa ya Moshi kuwa ndio chanzo cha mgomo wa vyombo vya usafiri mjini humo na kupelekea adha ya usafiri kwa wananchi.

Kwa mujibu wa mtoa habari, inaelezwa kwamba Julai 1 kampuni mpya inayodaiwa kumilikiwa na aliekuwa Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Bi Benadeta Kinabo (jina linahifadhiwa) ilipata zabuni ya kuchukua ushuru kwa makubaliano kwamba ushuru uwe Shs 2000 badala ya Shs 1000 ya awali.

Taarifa zinaeleza zaidi kwamba tangu kuanza kazi kwa kampuni hiyo mpya Julai 1, hakuna ushuru uliokusanywa. (Picha kwa hisani ya Chinga One Blog)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO