Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mgambo wa Manispaa Arusha na machinga

DSCN4462 Askari Mgambo wa Manispaa ya Arusha wakizozana na wafanyabiashara ndogondogo eneo la Clock Tower. Miji mingi nchini imekuwa na tatizo la kukosekana maeneo maalumu kuwawezehsa vijana wanaofanya biashara za kuuza bidhaa za kutembeza kuweka biashara zao. Mara nyingi wamejikuta wafanya biashara maeneo ambayo hayaruhusiwi kisheria na hivyo wanajikuta wakiingia kwenye misuko suko na mamlaka zinazosimamia miji hiyo. (Picha na Tumainiel Seria)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO