Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Ukarabati wa barabara za katikati ya mji kupendezesha mandhanri ya Jiji la Arusha

DSCN4890 Barabara nyingi katika viunga vya Jiji la Arusha ziko katika ukarabati mkubwa kwa kiwango cha lami kama picha hii inavyoonesha zoezi la kuweka tabaka la lami likiendelea.

DSCN4885 Hapa ni sehemu iliyokamilika baada ya kazi ya upanuzi wa barabara ya kuunganisiha AICC na ofisi kuu za Jumia ya Afrika Mashariki jinani na hospitali ya Mt Meru, Arusha

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Anonymous said...

KWANI HAO JAMAA WALIOSIMAMA PEMBENI KUSHANGAA MATENGENEZO YA BARABARA HAWANA KAZI???

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO