Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Marekani yatishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania

Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC liliripoti jana kuwa Marekani imetishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Tanzania iwapo itaendelea kuziachia meli za mafuta za Iran kutumia bendera yake.

Yafuatayo ni maoni ya watu mbali mbali katika bandiko la ukurasa wa shirika hilo kupitia mtanadao wa Facebook

  • Buta Rajabu Nikwl ebu tz 2ambie iweje iran i2mie bendera ye2?marekani endelea ku2mulika wamezd ku2fisadi,huku wana2tishia mabomu yamachoz

  • Hassan Al Nadhir Kama ni misada yao ya net za mbuu wasituletee.

  • Joseph Jrn kuna kitu kimejificha nyuma yapazia...

  • Husseni Abdalha Kuna jinamizi nyuma yapazia tena leusi kaa vipi msilete hivyo vineti wala vimsaada vyenu hatu vitaki

  • Emmanuel Alibaliwo Kwanza, hata mimi hii nchi yetu sielewi inakoelekea kweli Iran, ni nchi inayokaidi amri za kimataifa iweje sisi Tanzania ndo tuwe marafiki wa karibu, kwanza nilishangaa, siku moja kama vile kuona ieti Iran mjumbe mmoja kutoka Iran eti wamekuja kufanya mazungumzo ya kuwekeza, hata kama wanatuzidi kiuchumi lakini kuna baadhi ya chi unaweza kuchambua malengo yao, yaani ona sasa tulikofikia si ajabu ukasikia wanatwambia kuwa tunahifadhi hata magaidi, kutoka kundi maarufu duniani, kwani kupeperusha bendera yetu hwana yakwao? Au hayo mafuta wanatupa bure? Mimi hao watu siwapendelei kabisa si hajabuukakuta ndio waliohamasisha hata kutaka kuvunjwa kwa muungano. Hivi hali ilivyo kiuchumi Tanzania kwa sasa ni vurugu tupu, sasa wkituwekea vikwazo Itakuwaje, na hivyo vikwzo tena kwenye uchumi aise wamelenga pabaya kabisa mpaka umoja wa mataifa kuja kuwatetea ni lini? tutakuwa tumeisha sota vya kutosha. Ncihi yetu Tanzania inafadhiliwa kila kukiiiicha lakini wapi umaskini uko palepale, aliyekuwa Tangu kupata tunapata uhuru mpaka leo hii, watanzania tuko milioni 43, kama, sijakosea asilimia 70, hatujui kama hili taifa lina rasilimsli zilizo zake tena zenye samani, ukisema, unaambiwa kasome ili unufaike waliokwisha kusoma nako huko hali si shwari walko kazini au unaambiwa vijana ni taifa la kesho hivi kesho huwa inafika, marekani akiondoa misaada yake licha ya net hayo ni mengineyo tutasota, pia huwezi kupata nafuu hata siku moja ukiwa ndani ya vikwazo utafanya nini zaidi?

  • Pascal Sabonga Tanzania imezidi kuwa ombaomba wakati ufisadi wanaofanya unatosha kuendesha uchumi wa nchi. Tumekuwa km w2 vipofu ktk taifa taifa le2 tajiri yenye rasilimali za kumwaga, wenze2 wana2ibia na cc tunaangalia 2 na wale waliopewa dhamana hiyo wanaingia mikataba ya kifisadi. Akhh! acha tu niishie hapa mana machoz yananitoka kwa uchungu niliokuwa nao juu ya taifa langu...

  • Ally Bwanga hebu nifunguen jama wana2mia bendera ye2 zikiwa meli zinaelekea wapi! Na zinatoka wapi! Kisha nitoe hoja

  • Joshua Samson Kwanin iran ipeperushe bendera ye2?Kuna interest.Membe atoe tamko 2elewe!

  • Emmanuel Seth Mwakyolile membe anajua yote haya.

  • Khamis Juma Mh Membe waambie tu hao wababe kua hukuwaruhusu kutumia bendera zako ila wametengeneza tu wenyewe bila ya hata wewe kujua lolote sihivyo kichapo coz hao washkaji ubabe ndio culture Yao .

  • Leonard Jonnie Watuwekee tu nchi yenyewe corrupt.

  • Salum Lemky Salum lemky wa znz tz.Nami nina hoja nataka kuchangia"Enyi marekani marekani wacheni kutaka kuturejesha tuliko toka au tayari mwataka tugeuza libya kwa vijimafuta vyetu vy kule pemba?"

  • Musabah Anzuruni Wa Tanzania, kuweni macho! Ikiwa kutumia bendera yenu nifaida kwenu musijali hawo wa marekani, kwasababu nawo ni wezi. Kwanza dunia inayumba yumba kwahajili yao. Wa marekani pia niwabaya.

  • Jeff Mwinyi Jr. Naona sasa macho ya kibepari yamehamia nchi zinazochechemea na uchumi haba, sidhani kama ivyo vikwazo itakua ni sababu ya bendera jinsi niwajuavyo hao waonevu Wamarekani nikutaka kutuangamiza ili wachukue ivyo vidogo vilivyobakia.

  • Hussein Limo Nyie wamarekani mmemua gadafi nn mnataka huku TZ Jamani?

  • Salum Lemky BBC Nakupenda kwa moyo wangu wote kama taifa langu la T'z

  • Albert Sinkala Tuwekewe tu ili Mafisadi wasiendele kunemeka,nchi yetu rushwa inanuka huenda kuna Mafisadi wanahusika ktk hilo

  • Kevin Swagsi kama wamarekani ni wababe sana,basi iwekeeni vikwazo Urusi inayopeleka silaha Syria,mbona mnawagwaya hao?

  • Hamza Kinyema Hata sisi kuwa rafiki wa marekani tulipaswa kuwekewa vikwazo na m/mungu

  • Talib Said Walianzwa kenya na alshabab saivi hawana amani tena, tanzania zamu yenu sasa, mmarekani ni nyoka huyo saa yeyote anaeza kukudona....

  • Khadija Mohamed Laana tu Allah USA ishaallah mna siku yenu mtapata malipo kutoka kwa Allah sw tuone basi ubabe wenu muufanye mpaka mwisho Wa dunia

  • Hassan Mbaki Kujadili hapa fcbk sioni kama itasaidia chochote Wamarekani mwanzo na mwisho wandugu.

  • Maxmilian Kweka wamarekan hawayawoni yanayo tokea siria bali.wanacho kiona ni mafuta na meli zinako peleka.waelewe tz ni inch huru

  • Joshua Mwasakyeni Marekani hamna maana nyie kuna jambo mwalitafuta sio bure. Hicho nikisingizio tu.

  • Renico Kinemo Kwann IRAN itumie bendera ya Tanzania....inamaana viongozi hawaoni hilo swala ni la ajabu,mpaka watishiwe!

  • Rebeka Gerald tuone kama irani itawasaidia mana wenyewe washawekewa vikwazo,iran si kutu wala chochote wangekuwa wababe wangetumia bendera zao,wasituletee ugaidi siye]
  • Rebeka Gerald wachovu tu wa siasa hao

  • Dismas Carson Mmassy laana ya mungu itawashukia wa marekani.maana kila k2 wao fremason.wao unyonyaji wao mungu atashindwa kuwavumilia naxema.mungu laana wamarekani mlaani obama

  • Afcator William Hawa marekani wasitufuatefuate,wamesha muharibia jirani yetu kenya, sasa wanataka watuharibie na sisi.viongozi wetu kueni makini na mmarekani sio mtu mzuri.

  • Isihaka Kaburu TABORA-TZ.
    IRAN hawatumii bure bendera ya TZ lazima watakua wametoa pesa nyingi.Sasa tujiulize hiyo pesa inakwenda wapi?

  • Paul Mruma IRAN wameshawekewa vikwazo kibao hata chakula kukipata ni shida, viongozi wa tz wawe makin tucje kupata matatizo,

  • John Jeromin hahahahahah na bado

  • Maleko Willington ‎2naelekea wapi..??

  • Abu Khayrat Hassan Kabange Wamewekewa vikwazo watu yanawatoka maneno meeeengi wengine wanasema chakula shida. mmeshafika Iran na kukaa mkaona maisha mazuri ya kule.
    Tatizo tanzania kumegundulika gesi na mafuta marekani wanaanza chokochoko ya vita ili tanzania isitawalike wajibebee mafuta bure.

  • Naresho Masanki Kuna viongozi wa tz wananehemeka kwa hili,kaeni makini wasitubomole nchi

  • Omary Saidi Heeheeheeeyaaaaaaaa! 'Liwalo na Liwe'

  • Hamisi Ayoub Marekani si watu wazuri ugomvi wako na irani usituchangnye sisi tz ni nchi masikini acheni upuuzi wenu

  • Jack Okuku wacheni biashara inawiri nani hupinga US isiuze silaha Afghanstan

  • Kevin Swagsi Iran sio nchi maskin,na unapoiwekwea vikwazo basi uchumi wa soko la dunia utayumba tu,marekan na nchi za magharibi kuweni makini ktk hili

  • Humphrey Mwantembe ‎2wekewe ili 2jifunze maana aya mataifa ya magharibi sielewi ajenda zao kwe2 yaani 2napelekwa

  • Ahmad Abdul Satary Masikini africa!bado tunatawaliwa na mapebari mungu ilinde africa

  • Ally Gawa Tunawadekeza sisi wenyewe nani asiejua unyama wa wamarekani'

  • Mular Omar ingekuwa waarabu tungesema ni magaidi lkn ni hawa marekani tunaowakumbatia na kuwaona ndio watu wazuri na watu wakidemokrasia lkn inshaallah mungu ataleta rehema zake coz tz nikanchi kadogo tu wakipiga bomu moja tu wameshaharibu kila kitu

  • Baba Xtina Hivi ni vikwanzo gani vya kiuchumi ambavyo Tanzania tunaweza kuwekewa na Marekani tukatetereka zaidi ya hivi tulivyolala? Mi nadhani tuendelee kutrade na Iran maana angalau tunaweza kuamka lakini kudeal na Marekani tutaendelea kulala hadi mwisho wa dunia! Aliyelala hatikiswi maana huna jipya unafanya!

  • vans Peter Watanzania, chamsing tujijengee mazoea ya kujitegea, maana hawa watu lengo lao nikutufanya tuendee kuwa masikini. Siumnajua ili kusudi mtu ili akutawale lazma akufanye masikini so watanzania amkeni,simameni kwa miguu yenu.
    • Hamisi Msangi waende zao tumesha choka kunyanyaswa naho wamarekani yan kila kitu wanataka watawale wao alaaa..tumesha choka kama mbwai mbwai waweke hivyo vkwazo vyaoo kwani wao ndo wanao tupa pumzi alaaa sisi tunamuogopa mwenyezi mungu peke nasio wanada wenzetu..

    • Malik Khamis Huyooo tanzania omba, omba. Njaa yake haiwezi, wata..... Wamarekani hao.

    • Gilbert Saidi dah! yani sisi tumekua watu wa aina gani hapa duniani yani tunatishwa hadi kwenye nchi yetu, ardhi yetu,ipo siku!

    • Nashiri Pontiya Hamna lolote nyie wamarekani,mnatutafutia sababu tu au kwakuwa tumepinga kuufuata USHOGA Kama mnavyotaka... Embu tokeni huko,Irani mcjali nyie peperusheni cc tuko nyuma yenu....

    • Juventus Mahunda mi nilidhani serikali ndo inamaamuzi ya nchi yetu kumbe kuna wakubwa huko nao wanatoa maamuzi?hahahaha nchi yetu au ya wamarekani?njaa za kijinga kijinga zinatuponza,badala ya kutumia fedha kwa mambo ya msingi,tunaendekeza matumbo.haya sasa bwana mkubwa keshasema tuone sasa itakuwaje

    • Msafiri Mageta Kunavoonekana kuna vigogo wamechukua chao iran mpaka kupeperusha bendera ye2 kwenye meli za iran wakat mafuta yanauzwa bei kubwa, wizi m2pu jaman m2ache

    • Abdul Rashid Mie naililia Zanzibar kwani nayo itaathirika na vikwazo itabeba msalaba uliokua sio wake,Hapa Wanzanzibar tufahamu kua Muungano unatuathiri ndio tukasema hatutaki,TUACHIWE TUPUMUE.

    • Sebastian Magulu Kweli kupepelusha bendera nchi siyo yako hii ni uvamizi. Haki itendeke Tanzania hata kama hatuna uwezo haukubaliani na Irani washushe bendera yao vita hatuhitaji.

    • Loserian Sakita Dah! Sasa ctutafilicka kiuchumi.

    • Ashely Ngassa Hivi mungu akifanya maajabu ya kumfufua jk nyerere akaona mambo haya yanayo endelea itakuwaje?

    • Stephen Peter Zehe Meli ya Iran bendera ya Tanzania inanikumbusha yale ya Mlima uko Tanzania wanaofaidika kiutalii ni nchi jirani.Serikali ituambie imekuaje

    • Gilbert Saidi kuna watu ambao hamfikirii bado hamjajua katiba ya muungano wa tz na zenj kwani bara tunafaidika nini tuwaachie waarabu

    • Abbey Mabirizi ‎21800=11 hicho kinaitwa "NEW WORLD ORDER" DUnian ipo chin utawala wao na mkuu huyo merekani kiukweli wafrika hatuna uhuru,je ukoloni mpaka lin. Wakapamla UG.

    • Baraka Kyomo Lawyer waache ushamba wa kutaka kutuamulia wanachotaka

    • Baraka Blessing Ndio mtajifunz kujtegemea wenyew,xaxa oneni mnavyopelekeshwa

    • Amos Mathias Kwanza waTZ wanaluhusu meli za iran zitumie bendela ya Tz kwa misingi ipi?na iran ni nchi ya kivita kwahiyo hata wakifanya uhalifu wao hawahusiki itaonekana waTZ ndoWamefanya uhalifu, jamani mbona tunawekwa chambo na wakati tuna wasomi.

    • Mwakyeja Benyamin Sekretariate ya maadil iko wap? TANZANIA INAKWENDA WAPi?

    • Lameck Uisso Uwezo tunao hata wakiweka vikwazo wao wenyewe bila africa wasingefika hapo.

    • Sylvester Mwampondele It's neo-colonialism!

    • Jackson Vedastus Hyo nchi ya mblack aliekimbia kwao, asitake kutuletea, wameshndwa kuja kustop huku kenya alshabaab, wanataka kutafuta ka kikwazo au nilipo post status yangu kwamba tz n peaceful country wanataka waniaribie!!?

    • Edson Rukaiga Inakuwaje iran itumie bendera ya taifa jingine,ni vema hiyo meli ijulikane ni mali ya tz

    • Nemence Mbale Bendera au bandari.....anyway wasitufanye watoto kila kitu tufanye watakavyo wao

    • Prince Aidan Mukandala mhmm,...jaman! anyway ngoja xa tuwe na akili ya kujitegemea cku zote mtegemea cha nduguye hufa..., (yatima)!

    • Edge Laurian Marekani anapenda kuzitumia nchi zingine hili mradi ipate inachotaka kwa namna yoyote ni kawaida kama ukichunguza migogoro yote duniani Marekani ikiingia jua basi imeona kitu na wameshindwa na njia ya mwisho ni vita mifano michache ni Libya (kwa GADDAFI), Afghanistan , Iraq n.k

    • Said Mataula Dah! Hv ni kweli Tanzania ni Marekani BILA Marekani hakuna Tanzania? Haya yote wametutakia viongozi wetu... Aah! haya bwana mkubwa kasema...

    • Ally Tuly kazi ipo

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO