Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

PICHA YA KUANZIA MWAKA: PROF J AKIMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE

Mbunge wa Mikumi(CHADEMA) Mh Joseph Haule ambaye amezoeleka zaidi kwa jina la sanaa kamaProfesa J akimvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi jana Jijini Dar es Salaam  kama hatua muhimu ya awali kuelekea kwenye ndoa takatifu.

Tunamtakia Maisha Mema Yenye Kheri na Baraka!!

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO