Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mabomu Arusha: Polisi washindwa kuwafikisha Mahakamani waliowakamata jana

SAM_0023Jeshi la polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa Chadema na wananchi wote waliokuwa wanashikiliwa na limemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe kuwasilisha ushahidi wa mtu aliyelipua bomu kwenye mkutano kwa Mh. Rais kama hana imani na jeshi la Polisi. Pichani ni Mh Lissu wakizungumza na Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini mara baada ya kuachiwa.

SAM_0026

SAM_0027James Ole Millya akisalimiana na Mzee Said Arfi aliyekamatwa juzi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO