Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA MCHEZO WA TANZANIA DHIDI YA IVORY COAST ULIOMALIZIKA JIJINI DAR KWA STARS KUFUNGWA GOLI 4 -2

Heka heka.

Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars'

Kikosi cha Ivory Coast.

Waamuzi wa mechi ya Stars na Ivory Coast wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote mbili. 

Benchi la ufundi la timu ya Taifa Stars. 

Benchi la ufundi la timu ya Ivory Coast.

Thomas Ulimwengu akimtoka mchezaji wa Ivory Coast, Bamba Souleman

Ni hatari.

Gooooooooo.

Thomas Ulimwengu akishangilia bao la pili la Stars.

Mashabiki wakishangilia.

Wachezaji wa Taifa Stars wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia dhidi ya Ivory Coast. Stars ilifungwa 4-2. 

Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akilalamikia penalti iliyotolewa na mwamuzi, Mehdi Abid.  

Beki wa Taifa Stars, Shomari Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Ivory Coast, Aurier Alain katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia uliuofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa Ivory Coast wakisalimia na wenzao.

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Amri Kihemba akiwatoka mabeki wa timu ya Ivory Coast,  katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Ivory Coast ilishinda 4-2. 

Mshambuliaji wa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka, Bamba Souleman.

PICHA ZOTE na: HABARIMSETO BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO