Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MBOWE AKIONJA SAMAKI ‘NJUN JU’ KATIKA KIVUKO CHA MTO KILOMBERO

photo(31)

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa chama hicho wakipata chakula cha mchana kwa kutafuna samaki wadogo waitwao ‘Njuju’, kando ya kivuko cha Mto Kilombero, walipokuwa njiani kutoka kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kijiji cha Kivukoni, Kata ya Minepa, wakisubiri kuvuka kwenda mkutano mwingine wa kampeni Kata ya Ifakara, mkoani Morogoro

photo(32)MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa chama hicho wakipata chakula cha mchana kwa kutafuna samaki wadogo waitwao ‘Njuju’, kando ya kivuko cha Mto Kilombero, walipokuwa njiani kutoka kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kijiji cha Kivukoni, Kata ya Minepa, wakisubiri kuvuka kwenda mkutano mwingine wa kampeni Kata ya Ifakara, Mkoani Morogoro. Picha na Tumaini Makene

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO