Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

MPAMBANO WA NSSF ALL MEDIA STARS NA WABUNGE KURUSHWA LIVE NA STAR TV KUTOKA DODOMA LEO

Dk. Margreth Mtaki kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo akimpima afya mshambuliaji wa timu ya soka ya NSSF Media Kombaini, Maulid Kitenge kabla ya safari ya kwenda Dodoma kupambana na timu ya Wabunge leo Jumamosi Juni Mosi kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Pambano hilo litaoneshwa Live kupitia Star Tv. Picha na Issa Michuzi

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO