Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MAONESHO YA WATANZANIA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA NCHINI GHANA

IMG_5405Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Bi. Ingiahedi Mduma akiwa na washiriki wa nchi mbalimbali wakati wa matembezi ya hiari wakati wa kukamilisha maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana.
IMG_5413Watanzania wakiwa kwenye matembezi ya hiari pamoja na washiriki wa nchi zingine wakati wa kukamilisha maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma Nchini Ghana
.IMG_5417Washiriki wa Tanzania na washiriki wa nchi zingine wakisubiri kuanza kwa matembezi ya hiari wakati wa kuadhimisha maonesho ya wiki ya utumishi wa umma  Nchini Ghana
IMG_5490Kikundi cha ngoma cha Ghana kikiburudisha wakati wa siku ya kutoa tuzo kwa washindi wa maadhimisho ya maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana
IMG_5538Kikundi cha ngoma cha Ghana kikiburudisha wakati wa kufungwa kwa maadhimisho ya maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini GhanA
IMG_5777Watanzania wakiwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi  wakishangilia kwa kishindo ushindi waliopata katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana
IMG_5836Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George  D.  Yambesi akiwa na baadhi wa washiriki waliohudhuria katika siku ya kufunga maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana.

PICHA NA: Ingiahedi Mduma- MsemajiwaWizara ya Fedha.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO