Mwenge wee...mwengee...mwengee Tunaukimbiza ...!!Mwenge wa Uhuru umetua leo jijini Arusha ,na kuanza kukimbizwa katika chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College) na kufanyika kwa Uwekwaji wa jiwe la msingi mradi wa SHAMBA DARASA kilimo cha Umwagiliaji na baadae utalala Sanawari jijini, Arusha.
Makamanda wa mwenge wakiimba......Mwenge wee...mwengee...mwengee Tunaukimbiza ...!!Mwenge wa Uhuru umetua leo jijini Arusha ,na kuanza kukimbizwa katika chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College) na kufanyika kwa Uwekwaji wa jiwe la msingi mradi wa SHAMBA DARASA kilimo cha Umwagiliaji na baadae utalala Sanawari jijini, Arusha.
Kauli mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2013
Mwenge wa Uhuru ukiwa unalindwa na Kupumzishwa na Makamanda baada ya kukimbizwa katika chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College) nakufanyika kwa Uwekwaji wa jiwe la msingi mradi wa SHAMBA DARASA kilimo cha Umwagiliaji na baadae utalala Sanawari jijini, Arusha.
Asilimia kubwa waliokuwepo katika mapokezi ya mbio za mwenge jijini Arusha Walikuwa wanafunzi wa Sekondari.
Maskauti wakielekea kupata Chakula cha mchana baada ya kuukimbiza Mwenge wa Uhuru 2013 katika eneo la Chuo cha ufundi Arusha (ATC) leo Jijini ,Arusha.
Wa mama wa Ki-Tanzania na sare zao, wakielekea kupata Chakula cha mchana baada ya kuukimbiza Mwenge wa Uhuru 2013 katika eneo la Chuo cha ufundi Arusha (ATC) leo Jijini ,Arusha.
RATIBA YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2013
Wanafunzi wa NGARENARO SEKONDARI wakitokelezea baada ya kuupokea Mwenge wa Uhuru 2013 , Jijini Arusha.
Wanafunzi wa NGARENARO SEKONDARI wakiwa katika na nyuso za furaha baada ya kuupokea Mwenge wa Uhuru 2013 , Jijini Arusha.
Mwenge wee...mwengee...mwengee Tunaukimbiza ...!!Mwenge wa Uhuru umetua leo jijini Arusha ,na kuanza kukimbizwa katika chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College) na kufanyika kwa Uwekwaji wa jiwe la msingi mradi wa SHAMBA DARASA kilimo cha Umwagiliaji na baadae utalala Sanawari jijini, Arusha.
PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO, RICHARD MWAIKENDA
0 maoni:
Post a Comment