Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mwenge wa Uhuru Wawasili Jijini Arusha

Magessa 1Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza mara baada ya kuupokea Mwenge wa Uhuru uliofika katika Mkoa wake.. Sherehe za Mwenge mkoani hapa zinatarajiwa kufanyika kesho katika viwanja jirani na Kanisa la St Theresa.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO