Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: CCM Arusha Wakizundua Kampeni Zao za Kuwani Udiwani Kata ya Kaloleni

DSC07187Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Mh Abdallah Bulembo akimnadi mgombea wa chama chake Kata ya Kaloleni, Emmanuel Leo

DSC07186Kijana aliyetambulisha kuwa mwanachama mpya wa CCM akitambulishwa jukwaani

DSC07185

DSC07189Wananchi wakifuatilia mkutano huo

DSC07192Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya, Mussa Mkanga na wajumbe wengine wakifuatilia mkutano huo jana

DSC07193Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Mh Onesmo Nangole akimakaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu CC Alhaji Abdallah Bulembo

DSC07194Mary Chatanda akimwaga sera

DSC07195Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha mh Mary Chatanda akimnadi mgombea wa chama chake Kata ya Kaloleni

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO