Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Baadhi ya Washindi wa Tuzo za “Kili Music Award 2013”

Kala Jeremiah akipokea tuzo zake.

Gardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee.

Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena! Tuzo ya Video Bora ya Mwaka..Baadae!

Mashujaa Band wakifurahia Tuzo ya Band Bora.

GadnereGardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee

Chalz Baba akiwa na Tuzo zake!

Ben PoulBen Pol akiwa kwenye stage na tuzo yake ya Mtunzi Bora wa Mashahiri Bongo Fleva.

MC wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 Bw. Zembwela. Picha zote na Kilimajaro Premium Lager


ORODHA KAMILI WA WASHINDI WA TUZO HIZO

1. Msanii Bora wa Kiume ni Diamond!
2. Msanii Bora wa Kike ni Lady Jaydee.
3. Wimbo Bora RnB ni Rama Dee na Kuwa na Subira.
4. Wimbo Bora wa Mwaka Hip Hop ni Dear God wa Kala Jeremiah.
5. Wimbo Bora Afrika Mashiriki ni Jose Chameleone na Valu Valu
6. Wimbo Bora wa Mwaka Hip Hop ni Ney wa Mitego na wimbo wa Sema Nao.
7. Video Bora ya Mwaka ni Baadae ya Ommy Dimpoz.
8. Mtunzi Bora wa Mashairi Hip Hop ni Kala Jeremiah.
9. Msanii Bora wa Hip Hop ni Kala Jeremiah.
10. Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall-Dabo na wimbo wa Predator!
11. Rapa Bora wa Band ni Fagasoni.
12. Msanii Bora wa Kiume Band ni Chalz Baba.
13. Msanii Bora wa Kike Band ni Luiza Mbutu.
14. Mtayarishaji wa Wimbo Bora wa mwaka Band ni Amoroso.
15. Wimbo Bora wa Bendi ni Mashujaa Band na wimbo wa Risasi Kidole.
16. Msanii Bora Anayechipukia ni Ali Nipashe.
17. Wimbo Bora wa Bongo Pop ni Ommy Dimples na Vanessa Mdee Me and You
18. Msanii Bora wa Kike Bongo Fleva ni Recho
19. Msanii Bora wa Kiume Bongo Fleva ni Diamond.
20. Mtayarishaji Bora wa Mwaka Bongo Fleva ni Man Water.
21. Mtunzi Bora wa Mashahiri ya Bongo Fleva ni Ben Pol.
22. Wimbo Wenye Vionjo vya Asili ni Chocheeni Kuni wa Mrisho Mpoto.
23. Msanii Bora wa Kike Taarab ni Isha Mashauzi
24. Msanii Bora wa Kiume Taarab ni Mzee Yusuf.
25. Mtayarishaji wa wimbo wa mwaka wa Taarab ni Enrico.
26. Mtunzi Bora wa Mashahiri ya Taarab ni Thabit Abdul

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO