Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Mafuriko ya Mama Samia Suluhu Dodoma

[caption id="attachment_61433" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.[/caption][caption id="attachment_61429" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.[/caption][caption id="attachment_61430" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.[/caption][caption id="attachment_61428" align="aligncenter" width="800"]Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani.[/caption][caption id="attachment_61425" align="aligncenter" width="800"]Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa  aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa
aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho.[/caption][caption id="attachment_61430" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.[/caption][caption id="attachment_61434" align="aligncenter" width="800"]Mgombea ubunge Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza mkutano wa kampeni viwanja vya Chang'ombe Dodoma. Mgombea ubunge Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza mkutano wa kampeni viwanja vya Chang'ombe Dodoma.[/caption][caption id="attachment_61427" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu viwanja vya chang'ombe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu viwanja vya chang'ombe.
[/caption][caption id="attachment_61423" align="aligncenter" width="800"]Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humo. Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humo.[/caption][caption id="attachment_61424" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Kibakwe.[/caption][caption id="attachment_61421" align="aligncenter" width="800"]Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati). Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati). [/caption][caption id="attachment_61420" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Kibakwe.[/caption][caption id="attachment_61435" align="aligncenter" width="800"]Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Peter Chiuyo akizungumza mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Peter Chiuyo akizungumza mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.[/caption][caption id="attachment_61419" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Kibakwe.[/caption][caption id="attachment_61436" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.[/caption][caption id="attachment_61422" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Mtera. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia
Suluhu Jimbo la Mtera.[/caption]Meza kuu katika mkutano wa hadhra jimbo la Kibakwe.
Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO