Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM

01

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi ya CCM Bwana Abdallah Majura Bulembo wakiikingia katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam Septemba 3, 2015.ambapo alifungua mkutano wa Makatibu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Mkoa na Wilaya.

03

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Septemba 3, 2015.

06

Wajumbe wakishangilia wakati wa  ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM ngazi ya,Mkoa na Wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

04

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM taifa Abdallah Majura Bulembo akimpa zawadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa Mkutano wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

05

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wanaohudhuria Mkutano wa jumuiya hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

(picha na Freddy Maro)

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO