Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

EXCLUSIVE VIDEO YA MKUTANO WA CHADEMA ULIOSHAMBULIWA NA BOMU SOWETO ARUSHA



Video hii ni ya lisaa limoja na nusu, imewekwa kwenye mtandao wa You Tube na Mwandishi Jesse Rutahigwa aliyekuwa uwanjani hapo na kunusurika kifo kutokana na milipuko ya mabomu na risasi siku hiyo ya Jumamosi ya Juni 15, 2013 uwanja wa Soweto Jijini Arusha.
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Unknown said...

MAGAMBA HAWANA CHAO HAPO A CITY

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO