Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mwenyekiti Halmshauri Ngorongoro, Katibu wa CCM na Madiwani Watimkia CHADEMA!

Mwenyekiti wa Halmashauri  ya Ngorongoro Mhe. Elias Ngorisa, Katibu wa fedha na uchumi wa CCM Wilaya ya Ngorongoro na Madiwani kadhaa wajiunga CHADEMA mchana huu na kupokelewa na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika Ofisi za Chadema Mkoani Arusha.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO