Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Samia Adai itakuwa Mwisho Mgambo Kukamata Wafanyabiashara Ndogondogo, Apta Mapokezi Kiduchu Hai

DSC_1691

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la ArumeruBaadhi ya wananchi na viongozi wa wafugaji wa kimasai wakifuatili mkutano

Baadhi ya wananchi na viongozi wa wafugaji wa kimasai wakifuatili kutano

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la ArumeruBaadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia Jimbo la Arumeru

 Baadhi ya wanachama wa CCM wakimkabidhi zawadi katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu .
Baadhi ya wanachama wa CCM wakimkabidhi zawadi katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu

Anjela Kairuki mmoja wa wajumbe wa kamati ya kampeni ya taifa akizungumza katika mkutano wa mgombea mwenza,

Anjela Kairuki mmoja wa wajumbe wa kamati ya kampeni ya taifa akizungumza katika mkutano wa mgombea mwenzaDSC_1605Agrey Mwanri akizungumza na wapiga kura wake

Agrey Mwanri akizungumza na wapiga kura wakeBurudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjini.

Burudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjin

Agrey Mwanri (kushoto) akifuraiya jambo na Bi. Ummy Mwalimu (kulia)  kwenye mkutano wa B, Samia Suluhu,

Agrey Mwanri (kushoto) akifuraiya jambo na Bi. Ummy Mwalimu (kulia) kwenye mkutano wa B, Samia Suluhu,

[/caption] [caption id="attachment_61124" align="aligncenter" width="800"]

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la Hai.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la Hai

Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini.

Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini" width="800"]Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la Hai.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa tiketi ya CCM akihutubia jimbo la HaiBaadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini. Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini.[/caption] [caption id="attachment_61129" align="aligncenter" width="800"]Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjini.

Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Arusha Mjiniwidth="800"]Burudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjini.

Burudani kwa wananchi na mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara moshi Mjini

 Na Joachim Mushi, Arusha CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kikifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kitahakikisha mgambo wa halmashauri ya jiji hawawasumbui kwa kamatakamata za wafanyabiashara ndogondogo ambao wengi wao ni akinamama pamoja na vijana. Kauli hiyo imetolewa leo na mgombea mwenza nafasi ya urais tiketi ya CCM, Bi. Samia Suluhu alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika mkutano uliofanyika uwanja wa Kilombero Jimbo la Arusha Mjini na kuhudhuriwa na umati wa wanaCCM na wananchi wengine. Akinadi ilani ya CCM alisema chama hicho kimeandaa utaratibu mzuri wa fursa kwa akinamama na vijana wanaofanya biashara ndogondogo hivyo itakuwa ni marufuku kwa mgambo wa jiji kukamata biashara za akinamama na vijana wanaojitafutia ridhiki mjini. "...Iwapo CCM itafanikiwa kuingia mjini naomba wale mgambo ambao uishi kwa kutegemea kukamata kamata bidhaa za akinamama watafute kazi nyingine ya kufanyanya...hatutaki mgambo wa kufanya kazi hizo ni marufuku," alisema mgombea huyo mwenza wa CCM, Samia Suluhu. Alisema Ilani ya CCM imepanga kujenga viwanda vya kuchakata madini ili kuhakikisha vijana wanapata ajira na kuweza kukuza vipato vyao, na kufufua viwanda vilivyosimama kikiwemo cha 'General Tyre' ikiwa ni mpango wa kumaliza tatizo la ajira kwa vijana. Aidha alisema mpango mwingine ambao upo kwenye ilani ya CCM ni kushughulikia tatizo la mikataba ya ajira ya madereva wa magari madogo na makubwa, "...Tukifanikiwa kuingia Ikulu kazi ya kwanza tutakayoipa Wizara ya ajira ni kuhakikisha inafanya kazi ya kushughulikia mikataba ya ajira kwa madereva wa magari madogo na makubwa," alisema Bi. Suluhu. Aliongeza Serikali ya CCM itaunda ufuko wa maji kuakikisha huduma za maji zinakuwa za uhakika kwani Mkoa wa Arusha unashughuli nyingi na idadi ya watu inakuwa kila uchao. Serikali ya CCM imepanga kushughulikia suala la rushwa na vitendo vya ufisadi, uzembe ili kuhakikisha kasi ya maendeleo inaongezeka. Awali kabla ya mkutano wa Arusha Bi. Suluhu alifanya mikutano katika majimbo ya Hai, Siha na Arumeru yaliyopo mikoa ya Kilimanjaro kabla ya kuingia Mkoani Arusha. Akiwa katika majimbo hayo mgombea aliinadi ilani ya CCM pamoja na kuwanadi wagombea ubunge na madiwani wa CCM wa maeneo hayo. Ambapo alisema Serikali ya CCM imepanga kuboresha huduma za afya, elimu, uwezeshaji wa vijana na akinamama ikiwa ni pamoja na kutenga shilingi milioni 50 kwa kila kijiji kwa ajili ya kuwainua akinamama na vijana.

WAKATI HUO HUO GAZETI MWANANCHI LINARIPOTI TOKA HAI

Samia apata wakati mgumu Hai

Mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan jana alipata mapokezi kiduchu katika wilayani ya Hai ambayo ni ngome ya Chadema. Mkutano wake ulianzia Machame Kaskazini ambako msafara wake ulisalimiana na makada wachache wa CCM.

Hai ni jimbo lililokuwa chini ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye anawania tena kiti hicho akichuana na dhidi ya Danstan Mallya wa CCM.

Baada ya kuona msafara huo umepokewa na watu wachache, baadhi ya viongozi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro waliamua kwenda katika Sekondari ya Machame na kuwataka walimu wawatoe wanafunzi madarasani ili wahudhurie mkutano huo.

Hata hivyo, dakika tano baada ya wanafunzi hao kufika mkutanoni, baadhi ya makada wa chama hicho waliokuwa kwenye msafara wa Samia, waliwakataa na kutaka warudi madarasani kuendelea na masomo.

“Huu ni wakati wa masomo wanafunzi hawatakiwi kuwepo mahala hapa sasa,” alisema Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Juma Idd.

Kitendo cha kuitwa na kurudishwa darasani, kiliwakera baadhi ya wanafunzi hao ambao walisikika wakilalamika kwamba wamewapotezewa muda wao wa masomo.

“Kwa nini wametupotezea muda wetu?,” alihoji mmoja wa wanafunzi hao.

Mmoja wa wakazi waliohudhuria mkutano huo, Vivian Mwasha alimwambia mwandishi wetu kuwa hali hiyo ilitegemewa kwa kuwa Hai ni ngome ya Chadema.

Mwasha alieleza pia kuwa inawezekana mapokezi hayo yamesababishwa na wakazi wengi wa eneo hilo kuwapo kazini asubuhi. Hali hiyo ilijirudia Masama Mashariki. Hata hivyo Samia hakukata tamaa, badala yake aliendelea na mkutano wake, akiwaahidi wakazi kuwa kipaumbele chake ni elimu.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO