Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Wasanii Kufanya Tamasha Kubwa la Demokrasia Dar Agosti 16, 2015

Baadhi ya wasanii wa muziki, zaidi hip hop na sanaa nyinginezo wameungana na kuandaa tamasha kubwa la wazi litakalofanyika Mbagala Dar es Salaam tarehe 16 mwezi Agosti 2015.

Tamasha hilo lililopewa jina la Democracy in Dar litapambwa na nyimbo nyingi za wasanii hao zinazozungumzia maswala ya siasa na demokrasia nchini.

Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO