Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA SABA ZA KINACHOENDELEA UWANJA WA TINDIGANI JIJINI ARUSHA LOWASSA AKISAKA WADHAMINI. UMATI NI KUFURU

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti waa mikoa wa CCM, Mghana Msindaa akihutubia ambapo alitumia nafasi aliyopewa kumjibu Katibu Mwenei wa CCM na kumuambia kuwa aache kuhangaika nae na badala yake aeleze umma watu walioko CCM wanaofanya biashara ya meno ya Tembo.

SAMSUNG CAMERA PICTURES

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO