Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

FAHAMU TIMU YKO ILIYOPANGWA MAKUNDI YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2015/2016

 

COVEER

Baada ya tukio la kupanga makundi mbele ya malegend mbalimbali hatimaye tumeshaja club zipi kwenye group gani. Sasa cheki club yako itakua na club gani kwenye magroup tofauti

A :

  • PSG
  • REAL MADRID
  • SHAKHTAR DONETSK
  • MALMO

B:

  • PSV
  • MAN UNITED
  • CSKA MOSOW
  • WOLFSBURG

C :

  • BENFICA
  • ATHELICO MADRID
  • SHAKHTAR DONETSK
  • ASANTA

D :

  • JUVENTUS
  • MANCHESTER CITY
  • SEVILLA
  • BORUSSIA MONCHENGLADBACH

E :

  • BARCELONA,
  • BAYERN LEVERKUSEN
  • ROMA
  • BATE BORISOV

F :

  • BAYERN MUNICH
  • ARSENAL
  • OLYMPIACOS
  • DINAMO ZAGREB

G :

  • CHELSEA
  • PORTO
  • DYNAMO KIEV
  • MACCABI TEL-AVIV

H :

  • ZENIT ST PETERSBURG,
  • VALENCIA,
  • LYON
  • GENT
Washirikishe Google Plus

About Unknown

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO