Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Prof Muhongo "Apiga Stop" Ongezeko La Bei Ya Umeme Kama Lilivyotangazwa na EWURA

Barua ya Waziri mwenye dhamana ya Umeme, Profesa Sospeter Muhongo kwenda EWURA kusimamisha zoezi la utozaji bei mpya kwa huduma za umeme nchini zilizotarajiwa kuanza kutumika kesho Januari 1, 2017 mpaka hapo itakapoamuliwa vinginevyo.


Washirikishe Google Plus

About SeriaJr TW

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO