Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Habari Mbaya Cho Cha AIA: Mwanafunzi wa mwaka wa pili achomwa kisu na kufariki usiku wa kuamkia leo

Taarifa ambazo Blog hii imezipata hivi punde zinaeleza kwamba usiku wa kuamkia leo, kijana mmoja mwanafunzi wa Arusha Institute of Accountancy, aliyetambuliwa kwa jina la Henry Koga aliyekuwa anasomea Degree ya kwanza Uchumi na (Econimic and Finance) mwaka wa pili, amechomwa kisu na kufariki.

Taarifa za awali kutoka chuoni hapo ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi zinaeleza kwamba kijana huyo anahisiwa kuchomwa kisu hicho hadi kupoteza masiha na mtu anayedhaniwa kuwa mwendesha bodaboda.

Blog hii inaendelea kufuatilia taarifa zaidi na itakujuza zaidi…

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO