Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

RIPOTI YA UTAFITI KUHUSU KUSHUKA KWA KIWANGO CHA UFAULU KIDATO CHA NNE 2010 ILIYOKUWA IMEFICHWA HII HAPA

Ni Ripoti ya utafiti iliyokuwa commissioned na ofisi ya Waziri Mkuu kuchunguza matokeo mabaya ya Kidato cha Nne mwaka 2010 ambayo ilitoka mwaka 2011.
Ajabu ni kwamba ripoti hii haikufanyiwa kazi na mwaka huu Ofisi hiyohiyo ya Waziri Mkuu imeunda kamati nyingine kuchunguza tatizo hilohilo!
Sijui tunaelekea wapi? Watanzania, bila kujali tofauti zetu kisiasa tusikubali mambo kama haya. Ni kuchezea raslimali zetu na hatari kwa vizazi vyetu na mustakbali wa Taifa letu.

Ungana na Mtandao wa Jamii Forum kusoma na kudownload ripoti hiyo hapa

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO