Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: TOFAUTI YA MKUTANO WA CCM MOROGORO NA WA CHADEMA MWANZA JANA

Picture

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro jioni hii, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane mkoani Morogoro.

Picture

Wananchi wakimshangilia mwanamuziki Diamond

Picture

Nape Nnauye akihutubia. Sehemu kubwa ya hotuba yake alizungumzia tu elimu za viongozi wa Chadema

Picture

Diamond akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro

Picture

Msanii Lina akitumbuiza kwenye mkutano huo

Picture

Wasanii Chege na Temba kutoka TMK Family wakishambulia jukwaa wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye mjini Morogoro jioni hii (picha Bashir Nkoromo)

MATUKIO YAFUATAYO YANAHUSU MKUTANO MWINGINE WA CHADEMA ULIOFANYIKA JIJINI MWAMNZA AMBAPO KARIBIA WABUNGE WOTE WALIOFUKUZWA BUNGENI KATIKA MAZINGIRA TATA WALIHUTUBIA. MKUTANO WA CCM ULIHUTUBIWA NA VIONGOZI WA JUU WA CHAMA, WA CHADEMA ULIHUTUBIWA NA WABUNGE WAKE TU.

KWA UPANDE WA CCM KULIKUWA NA WASANII NGULI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA WANAOWIKA NCHINI KWASASA, KWA CHADEMA WAO HAWAKUWA NA WASANII WOWOTE KUBURUDISHA WANANCHI

Picture

Wananchi wakisikiliza viongozi wa CHADEMA wakihutubia

Picture

Mbunge, Highness Kiwia akihutubia

Picture

Picture

Mch. Mbunge Peter Msigwa akihutubia

Picture

Kamanda wa Chadema Ally Bananga akiwaimbisha wananchi wa Mwanza wimbo wake wa “Chadema wamechachamaa….” Picha zote za Mkutano wa Chadema: Mh Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO