Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: SALON MPYA YA MSANII PROFESA JAY 'PROF JIIZE CLASSIC BARBER SHOP’

Profesa Jay akionyesha jina la Salon yake iliyoko Msasani mbele karibu ni mitaa ilipokuwa Irish Pub

Blogger Anna Peter akiingia ndani ya Salon hiyo

Profesa Jay akionyesha mating'a kwenye salon yake hiyo

Kitu cha Flat Screen Kubwa

Kazi zikiendelea

Mataulo safii

Vifaa vya kisasa, na madawa yote yanayotumika Profesa kasema ni original kabsaa

Hao ni warembo wanaotoa huduma saloon hapo.
Salon ya Prof Jiize iko pande za Msasani gharama ni nafuu sana ili kila mtu aweze kumudu, huduma zote zinapatikana na kila kitu ni Classic ndo maana inaitwa 'Prof Jiize Classic Barber Shop'.Pamoja nakwamba Pofesa ameajiri meneja wakusimamia hapo lakini pia yeye muda mwingi anakuwa hapo.

PICHA KWA HISANI YA ANNA PETER

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Anonymous said...

Saluni ya prof jiize ina tisha

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO