Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Taswira: Sherehe ya Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI)

Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI), zilizofanyika jana mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam.

Chuo cah Mafunzo ya Jinsia (GTI) jana kilitoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia katika ngazi ya cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika. Picha zote zimeandaliwa na mtandao wa www.thehabari.com.

Mwenyekiti wa Bodi ya GTI,Marry Rusimbi (aliyesimama) akihutubiaMwenyekiti wa Bodi ya GTI,Marry Rusimbi (aliyesimama) akihutubia

Mmoja wa wahitimu wakitunukiwa cheti cha mafunzo ya GTI na mgeni rasmi, John MnyikaMmoja wa wahitimu wakitunukiwa cheti cha mafunzo ya GTI na mgeni rasmi, John Mnyika

Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Dk. Diana Mwiru (kulia) akihutubia katika hafla hiyoMkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia, Dk. Diana Mwiru (kulia) akihutubia katika hafla hiyo

Mgeni rasmi, John Mnyika akizungumzaMgeni rasmi, John Mnyika akizungumza

Maandamano ya mgeni rasmi na viongozi wa GTI na TGNPMaandamano ya mgeni rasmi na viongozi wa GTI na TGNP

Maandamano ya mahafaliMaandamano ya mahafali

Maandamano mgeni rasmi na viongozi wa GTI na TGNPMaandamano mgeni rasmi na viongozi wa GTI na TGNP

Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania ikiwajibika katika mahafali hayo

Bendi ya Polisi ikiwajibikaBendi ya Polisi ikiwajibika

Baadhi ya wahadhiri wa chuo cha mafunzo ya Jinsia GTI wakiwa kwenye mahafaliBaadhi ya wahadhiri wa chuo cha mafunzo ya Jinsia GTI wakiwa kwenye mahafali

Baadhi ya wafanyakazi wa TGNP wakiwa katika mahafali

x3Baadhi ya wafanyakazi wa TGNP wakiwa katika mahafali

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO