Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

REDD'S MISS ARUSHA CITY CENTRE 2013 KUJULIKANA JUMAMOSI YA TAREHE 4 MEI

warembo wakali wa miss arusha city centre katika picha ya pamoja..

baadhi ya vimwana wa miss arusha city centre wakiwa kwenye mazoezi

 

opening show, !!

*********************

Mashindano ya Ulimbwende ngazi ya kitongoji Kanda ya kaskazini, Miss Arusha City Center 2013, yanatarajiwa kufika kileleni usiku wa May 4 ndani ya hoteli ya Kitalii ya Snow Crest Hotel iliyopo jijini Arusha.

Mratibu wa shindano hilo Bi Upendo Simwita kutoka kampuni ya Tour Visual Entertainment ambao ndio waandaji wa shindano hilo, amebainisha kuwa kila kitu kiko sawa na maandalizi yamekamilika, tayari kwa kumpata mshindi wa REDD'S MISS ARUSHA CITY CENTRE 2013

Muandaaji wa mashindano hayo alizidi kufafanua kuwa Warembo wote ni wenye mvuto na wenye vigezo stahiki na wako tayari kwa shughuli moja tu siku hiyo, anaongeza kuwa warembo hao wana ari kubwa ya ushindani, na kwamba kuna uwezekano mkubwa muwakilishi na mshindi wa Miss Tanzania 2013 akatokea kwenye kitongoji hicho.

Chanzo: Zeddylicious Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO