Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

GNAKO KUWA MC KATIKA "CLUB AQ DANCE COMPETITION" SIKU YA 20/4/2013 ARUSHA

Mdau wa burudani Njoo ushuhudie mashindano haya ujipatie bidhaa toka konyagi kwa nusu bei pamoja na maji ya kunywa bure toka Sodaking saa mbili jioni hadi majogoo!!!

Ni katika shindano la kucheza Muziki "AQ Dance Competition" litakalofanyika Club Aquiline Arusha likisimamiwa na GNAKO kama Mc siku ya Jumamosi tarehe 20 Mwezi huu wa nne kwa kiingilio cha shilingi 5000/= Tu Mlangoni.

Washiriki wote wajiandikishe mapema kupitia simu nambari 0764960960 au 0655364409 kujipatia nafasi ya kushinda Zawadi kabambe ya shilingi Laki Tano,Malazi katika LushGarden Hotel,VIP Card ya Club AQ pamoja na Tshirts.. "AQ DANCE COMPETIOTION" inaletwa kwenu kwa hisani kubwa ya Hotel Aquiline, Konyagi, SodaKing, Lush Garden Hotel na Noizmekah Production Studios....

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO