Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: RAIS KIKWETE AKIZINDUA MRADI WA UKARABATI NA UPANUZI WA MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA UMEME MKOANI DODOMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia huku Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakimponegza kwa ishsra hiyo ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku akishuhudiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes kwa hotuba nzuri katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes aliyemponegza kwa hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO