Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

KINANA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI MOROGORO VIJIJINI

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya shamba darasa ambapo wanakijiji wanapewa mafunzo ya kufuga na kulima kwa kisasa.

Moja ya banda la Mifugo kwa ajili ya mafunzo ya ufugaji

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma baadhi ya kero za wananchi wa kata ya Kiroka,Morogoro vijijini.

Ujenzi wa Kituo cha afya cha Mkuyuni ukiwa unaendelea kwa kasi nzuri.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahaman Kinana akishiriki ujenzi wa kituo cha afya cha Mkuyuni.

Zahanati ya Mkuyuni ambapo kuna jengwa kituo cha Afya cha Mkuyuni.

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa Mkuyuni.

Katibu Mkuu wa CCM Taifa,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mkuyuni,ambapo ujenzi wa Soko jipya na kituo cha Afya vinaenda sambamba,ikiwa ni moja ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Chifu Kingaru,wakati wa kupokea  zawadi za kimila kutoka kwa Chifu huyo wa 14 katika kijiji cha Mkuyuni.

Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu Abdulrahman Kinana akitoa shukrani zake kwa Chifu Kingaru wa 14.

Katibu Mkuu wa CCM ,Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza wananchi wa Morogoro Vijijini  kwenda kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na kijana wa Kimasai kwenye viwanja vya shule ya msingi ya Mvuha,Morogoro Vijijini.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kijiji cha Mvuha ,Morogoro  Vijijini, tarehe 20 April 2013.

Chanzo: www.ccmchama.blogspot.com

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO