Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Vifurushi vya StarTimes bei juu; TCRA waliahidi mambo mengi mazuri kwenye mfumo dijitali..ahadi yao imegeuka na kuwa shurba kwa masikini.

Ikiwa ni miezi minne tu imepita toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo dijitali (digital system) kwa vituo vya televisheni kampuni ya Startimes wamepandisha gharama ya vifurushi vyake

Taarifa ambazo Blog hii imezipata zinaeleza kuwa kifurushi kilichokuwa kinauzwa T.Shs. 9,000 sasa kitauzwa T.Shs. 10,000 na kile cha T.Shs. 18,000 sasa kitakuwa T.Shs. 20,000., halikadhalika kifurushi kilichokuwa kikiuzwa kwa T.Shs. 36,000 sasa kitakuwa ni T.Shs. 40,000. Bei hizi mpya zinatarajiwa kuanza kutumika rasmi tarehe 15 April, 2013.

Gharama hizi zinaongezeka ilhali huduma  ikiwa  ni  mbovu na ya usumbufu sana kwa wateja wa Startimes.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO