Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

TASWIRA: MKUTANO WA CCM UNAOENDELEA KILOSA MOROGORO SASA

1

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Luaha Kilosa Mkoani Morogoro wakati yeye akiongozana na baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wakati katibu mkuu huyo alipofanya  ziara katika eneo hilo, Katibu mkuu huyo yuko katika ziara ya kikazi ya kuhimiza maendeleo na kukagua miradi ya maendeleo ili kuisimamia serikali katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM na kuwahamasiha wananchi katika kushiriki shughuli za maendeleo.

 2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa Luaha Kilosa mkoani Mrogoro

 4

KATIBU Mkuu wa CCM Kinana akisalimiana na wananchi wakereketwa wa chama hicho     

7

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na Mohamed Seif Khatib Mjumbe wa NEC Oganizesheni na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi

 

8

Kikundi cha Ngoma kikitoa burudani katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Luaha Kilosa 9

Ndugu Mohamed Seif Khatib   akizungumza na wananchi  wa Luaha

 11

Mmoja wa wananchi akionyesha nyaraka ambazo pia alimkabidhi Katibu mkuu ambazo zinazungumzia kupunguza bei ya miwa kwa wananchi wa Luaha jambo ambalo wanalilalamikia sana

PICHA NA JUMA MTANDA

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO