Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Akina mama wampokea Dkt. Slaa kwa nyimbo kampeni za Udiwani Lwenzera, Geita

photo-3Akina mama wa Lwenzera wakimwimbia Katibu Mkuu wa CHADEMA (haonekani pichani) Dkt. Wilbroad Slaa kumkaribisha kwa kampeni za Udiwani Kata ya Lwenzera, Geita. Dr Slaa amepangiwa na chama chake kuongoza kamapeni za chaguzi hizo za udiwani kwa Kata zote zilizo Kanda ya Ziwa.

photo-4Dr Slaa akizungumza na baadhi ya wenyeji wake

photo-6Dkt. Slaa katika uzinduzi wa tawi la chama chake Mkoani Geita. Picha na Tumaini Makene, Geita

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO