“...sauti ya umma imeshinda tena leo bungeni...suala la 'MAFAO YA KUJITOA' ambalo wafanyakazi walio wengi walilipinga leo limepata ufumbuzi wenye kujali matakwa ya wengi na serikali imekubali yaishe...sasa serikali itoe pia tamko kuwarudisha kazini wafanyakazi wote ambao walifukuzwa makazini kwa kuhoji kuhusu suala la mafao ya kujitoa kuzuiliwa ghafla na serikali,na hasa wafanyakazi wa migodini ambao ndio walikuwa kati ya waathirika wakubwa wa sakata hili...” - Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA)
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment