Mapokezi ambapo kuna ramani ya hifadhi yote. Hapa ni mtu yeyeote anaruhusiwa kutembelea bure na kujionea baadhi ya vivutio viachache vilivyohifadhiwa.
Shughuli za utalii katika hifahdi hii hufanywa zaidi na magari ya aina hii ambayo ayanaelezwa kuwa na uwezo mzuri wa kuhimili mikikimikiki ya njia za vumbi
Mapumziko baada ya mizunguko ndani ya hifadhi
PICHA NA MATUKIO ZAIDI KONG’OLI HAPA
0 maoni:
Post a Comment