Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

WANAFUNZI WANUSURIKA KULIPUKIWA NA BOMU LA MACHOZI JIJINI ARUSHA

Kamanda wa Operesheni Maalumwa Jeshi la Polisi, Peter Mvulla akiwa ameshika bomu la kutoa machozi aloilolichukua kutoka kwa mmoja wa wanafuzi wa Shule ya Sekondari Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha. Bomu hilo lilirushwa kwa wanafunzi hao askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) bila ya kulipuka na kuwaepusha na madhara ambayo yangeweza kutokea. (Picha na Grace Macha)

Source: Tone Radio (Arusha yetu Blog)

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO