Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

ZIARA YA NAPE MKOANI KILIMANJARO

Nape Nnauye, Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi akiweka jiwe la msingi katika ofisi mpya ya CCM ,Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro tarehe 20/10/2012

Wananchi wa kata ya Nanjara Reha wakimpokea Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye, tayari kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM kwa kiti cha Udiwani.

Wanachama wakongwe wa chama cha mapinduzi wakionyesha kukubaliana na hotuba ya Katibu wa NEC,itikadi na Uenezi, Nape Moses Nnauye alipowahutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za Diwani wa Kata ya Nanjara Reha, Rombo ,mkoani Kilimanjaro.

Baadhi ya Madiwani wakiwa kwenye picha ya pamoja, Madiwani hawa ni kati ya Madiwani 21 ambao kwa pamoja wataweka nguvu zao kuhakikisha kata ya Nanjara Reha inarudi CCM. PICHA ZOTE NA ADAM MZEE, KWA HISANI YA BASHIRI NKOROMO BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO