Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Sugu mbioni kuingiza sokoni bidhaa ya kilevi “DEIWAKA GIN”

deiwaka ginKatiba nadiko lake kwenye mtandao wa Facebook, Mwanamuziki mkongwe nchini miongoni mwa waasisi wa Bongo Flava na Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ameeleza kuingiza sokoni bidhaa mpya muda wowote yenye nembo ya DEIWAKA, jina la Kampuni anayoisimamia ya Deiwaka Entertainment maalumu kwa watumiaji wa vileo. Nembo ya bidhaa hiyo ni kama picha inavyoonesha.

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO