Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Mkuu wa Mkoa wa Arusha akimjulia hali Katibu wa BAKWATA aliyejeruhiwa kwa bomu

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Magessa Mulugo akimjulia hali na kumpa pole Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha Bw. Abdulkarim Jonjo anayeuguza majeraha aliyoyapata baada ya kutupiwa bomu nyumbani majuzi  Jijini Arusha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Afande Liberatus Sabas akiangalia maganda yanayosadikiwa kuwa ya hilo bomu lililotipiwa dirishani katika nyumba ya Katibu wa BAKWATA wa mkoa wa Arusha. Picha zote na Mahmoud Ahmad, kupitia DJ SEK Blog

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO