Tunakusogezea karibu habari na matukio, zaidi habari za kisiasa na utawala, matukio ya Arusha na maeneo jirani, bila kusahau na mambo mengineyo ya kitaifa yanayojiri katika maeneo mbalimbali ya nchi kuhusu maendeleo na kuwa ya maslahi kwa watu wengi. Burudani na michezo pia havijasahaulika. Kizuri zaidi, unaweza kupata link ya Blogu nyingine na website muhimu hapa hapa kwa kuscroll mpaka chini. Karibu tuhabarike!

Sophia Simba atetea nafasi yake UWT

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya CCM, (UWT), ambaye anamaliza muda wake, Sophia Simba, akiingia ukumbi wa Mipango tayari kwa uchaguzi mkuu wa Jumuiya hiyo mjini Dodoma, Jumamosi Oktoba 20, 2012, ambapo aliibuka mshindi.

Makamu wa Rais, Dkt. Ali Mohammed Shein, (Kulia),  Makamu wa Mwenyekiti wa CCM, (Bara), Pius Mekwa, (Kushoto), na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake, UWT, Sophia Simba, mwanzoni mwa kikao cha uchaguzi cha Jumuiya hiyo, mjini Dodoma, Jumamosi Oktoba 20, 2012.

Shy-Rose Bhanji, (Kulia), akionyesha uso wa hasira huku akitulizwa na mjumbe mwenzake, kufuatia tafrani kati yake na mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania UWT), Sophia Simba

Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji, (Aliyekaa), akitulizwa hasira na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwkezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu, wakati wa kikao cha uchaguzi mkuu wa Jumuiya ya Wanawake ya CCM, UWT, kwenye ukumbi wa chuo cha Mipango Dodoma Jumamosi Oktoba 20, 2012.

SOURCE: MAISHA TIMES BLOG

Washirikishe Google Plus

About SeriaJr

SeriaJr will keep you updated with all current political news countrywide "Ndiye "Bosi" Mzito Arusha255" Karibu Tuhabarike!.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

TANZANIA, THE HOME OF KILIMANJARO